Shukrani kwa Steve Iwatta pia produced wangu KingdomThedon na Team nzima ya RaptaboraMUSIC bila kusahau Team Mziki na maendeleo ya watu kwa ushirikiano wenu mzuri pia TeamKisudaBloodFans kwa support yenu mlionionyeshea kwangu kwa kushea na wanna Mziki ambao nafanya. Pamoja sana ndugu zangu nachoitaji ni supporte yenu ya nguvu... Ili nipate moyo wa kufanya kikubwa zaidi
1 comment:
Shukrani kwa Steve Iwatta pia produced wangu KingdomThedon na Team nzima ya RaptaboraMUSIC bila kusahau Team Mziki na maendeleo ya watu kwa ushirikiano wenu mzuri
pia TeamKisudaBloodFans kwa support yenu mlionionyeshea kwangu kwa kushea na wanna Mziki ambao nafanya.
Pamoja sana ndugu zangu nachoitaji ni supporte yenu ya nguvu... Ili nipate moyo wa kufanya kikubwa zaidi
"NI MUNGU TU" ...
Post a Comment